Thursday, 23 March 2023

NAFASI ZA KAZI MARCH 2023

❇️ *AJIRA MPYA KUTOKA ABSA BANK WAMETANGAZA NAFASI ZA KAZI LEO HII.* 


βœ… KUSOMA MAELEZO ZAIDI NA NAMNA YA KUTUMA MAOMBI TEMBELEA HAPA

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘‰.https://t.co/CUcRvkAoRM.


 *Whatsapp Group Jiunge Hapa* 

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

πŸ‘‰https://chat.whatsapp.com/BU32TchsT8FL34GoRvOeoX. 


 *Telegram Group Jiunge Nasi Hapa*

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 πŸ‘‰ t.me/ajirampya2023.


πŸ™πŸ»πŸ™πŸ» Sambaza kwa wengine nao wapate hii fursa...

Saturday, 16 July 2022

NJIA YA KUWA TAJIRI HARAKA [JINSI YA KUPATA PESA]

 Habari, tazama njia chache kati ya nyingi za kukufanya uwe tajiri na kuishi maisha ya ndoto zako.

        Hii sio utani, BOFYA HIYO LINK HAPA  πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

        https://www.youtube.com/watch?v=U38nXIWpZ9U

Je unajiuliza ni vipi utakavyo jikwamua na umaskini?

Je umeteswa na umaskini kwa muda mrefu?

Je kwenu hakuna tajiri ata mmoja?


USIHOFU UTAKUWA TAJIRI BAADA YA KUTAZAMA HIIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://youtu.be/U38nXIWpZ9U


HIZI NDIZO SIRI ZA MATAJIRI KUFANIKIWA

https://youtu.be/U38nXIWpZ9U

Monday, 7 February 2022

PATA MIKOPO ISIO NA RIBA

 Habari, Je!? Unatafuta mikopp isio na riba au yenye riba nafuu?

1.TUJIJENGE

Hii ni taasisi ya kutoa mikopo kwa mtu mmoja mmoja hadi vikundi. Tujijenge inasaidia kukopesha watu na riba yao ni nafuu mno, pia wanatoa mikopo kwa wafanya biashaara na wafanya kazi. Wanatoa mikopo hata kwa wajasiliamali wadogo, 

WASILIANA NAO

Tujijenge Tanzania Ltd, Tujijenge House,
New Bagamoyo Rd. Plot 17, Block 45A,
P.O Box 22320, Makumbusho, Kijitonyama
Phone: +255 22 2774742/3
Mobile: +255 719 341 034
Email: tujijengetanzania@tujijenge.or.tz


2.YETU MICROFINANCE 

Hii ni taasisi ya mikopo kwa vijana na wanawake kwenye vikundi vya watu watano, mikopo yao ina riba nafuu kwa muda utakao panga wewe.

Kiungani Street, 2nd Floor Mkunazini Building

P.O.Box 75379 Dar es Salaam,

Tanzania.

Tel: +255 22 2180914

Fax:+255 22 2180914

Email: info@yetumfplc.co.tz


3.ASA

Hii inatoa mikopo kwa wanawake wajasiliamali wadogo kwa wakubwa.

MAWASILIANO YAO


Our Head Office can be found at:

Plot-12, Block-33H
Malongwe Street (Kasaba St)
Mwananyamala Area,
Mwinyi Juma Road
Kinondoni

Tanzania

P.O. Box 61627, Dar es Salaam, Tanzaniah


Tuesday, 5 October 2021

NAFASI ZA KAZI: Website zinazotoa nafasi za kazi

 1.BRIGHTER MONDAY

@ brightermonday.com

Hii ni website pendwa na ni yakuaminik,kila siku inatoa nafasi nyingi za kazi,za serikalini na binafsi.

Makampuni mengi ya kitanzania zinapost ajira kupitia hii webstite.

2. AJIRA FORUM

ajiraforum.com

Hii ni website ya pili Tanzania inayo toa fursa na ajira kwa vijana, ni ya kuaminika. Ni kwa taasisi binafsi na za kiserikali

3.AJIRA ZETU

@ajirazetu.co.tz

Hii nayo ni website nzuri kwa kutafuta kazi.

4.KAZI KAZI

@kazikazi.go.tz

Hii website inatoa nafasi za kazi na kukufindisha nmna ya kuandaa CV.

5AJIRA PORTAL

@portal.ajira.go.tz

Hii inakutafutia kazi moja kwa moja kwa kujaza fomu utayo ikuta kwenye website yao,kisha wanakutafutia kazi wao wenyewe.

KUMBUKA

Usitoe pesa yoyote kwa ajiri kujipatia kazi

Vyote vnaifanyika bure epuka matapeli


Kwa zaidi bonyeza link hii ujue zaidiπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

https://youtu.be/56WxHTAqoCU

Thursday, 18 June 2020

JINSI YA KUPATA MTAJI WA BIASHARA (NJIA ZA KUPATA MTAJI)






Watu wengi hujiuliza ni wapi pakupata mtaji wa kuanzisha biashara, na imekuwa ni vigumu kupata mikopo kwa wanao anza mwanzo biashar zao, na pengine masharti ya mikopo yamekuwa magumu.

Habari njema ni kwamba kuna njia nyingi ya kupata mtaji kama vile 

a) Kwa njia ya kuuza vitu ulivonavyo.
        Ni vigumu kuamini lakini ni kweli kwamba unaweza kuuza vitu ulivyonavo ili kuanza biashara yako. Sisemei uuze nyumba hapana kwani kujenga tena ni kazi, ila kuna vitu vdogo ambavo kwa binadamu sio lazima sana na unaweza endesha biashara yako vixuri na kununua vingine. Mfano; simu,radio,tv,nguo,kabati na hata gari kwa wanao taka mtaji mkubwa.


b)Kwa kukopa.
        kuna mikopo isiyo na dhamana kwa hiyo huna haja ya kutoa kituchako. na mikopo hiyo angalia kenye blog yangu pia nmeweka jinsi ya kupata mikopo isiyo na dhamana.

c)Kwa kuomba kw andugu na jamaa.
        Wanasemaga ishi na watu vizuri hawajakosea kwani ukishi na watu vizuri huta lala njaa kamwe,jaribu kuangalia watu watakao kusaidia na uwe mwaminifu pia.Omba mtaji kwa marafiki ndugu na utafanikiwa.



FOLLOW ME  
Istagram; Michongo_Ya_Pesa

Wednesday, 14 March 2018

Je huna salio? Hujui utapata wapi salio la vocha?

Kuna app kwa ajili yako itakayo kuwezesha wewe kupata salio Kupitia mpesa au tigo pesa. Geo poll ni app inayo patikana play store ipakue salsa unasubiri mini?

Tuesday, 26 September 2017

PATA MIKOPO ISIYO KUWA NA HATI YOYOTE ( KOPA KWA MTANDAO )

          PATA PESA KWA NJIA YA MIKOPO.


Kuna mikopo mingi kwenye mtandao isiyo kua na liba kubwa au kuitaji hati ya nyumba wala ya gari.mikopo upatikana kwa urahisi na bila kutarajia ni ndani ya dakika 5 tu. nina kuakikishia.
Mikopo hii itaitaji kitambulisho chako cha kupigia kura, cha uraia au liseni ya gari....
autahitaji kwenda kokote kupeleka hivyo vitambulisho. Uta vituma kupitia simu yako ya mkononi. Zifuatazo

  1. TALA 
      Hii ni app inayo patikana kwenye playsore,mimi binzfsi nme ijaribu na imewezekana kwa mara ya kwanza nmepata tsh.40,000/=. unaweza kukopa hadi millioni 1. Ni App ya uhakika.
  mahitaji; 
  • Simu ya mkononi aina ya smartphone
  • Laini ya Tigo
  • Kitambulisho chako cha kupigia kura
  • Email yako ni muhimu
      2. BAYPORT

        Unaweza kopa na ukawa unakatwa kwenye mshahara wako kidogokidogo.hii utakopa simu, DStv, n.k...... nayo ni salama.www.bayport.com
 mahitaji;
  •  simu yenye internet
  • laini ya simu yoyote
  • barua toka kwa muajiri wako
  • kitambulisho 
  • Email yako
    3.L PESA MICROFINANCE  
    Hii ni website na wana ofisi zao hapahapa Tanzania ingawa ni kampuni ya Marekani, inatoa mikopo kwenye mtandao wana toa kuanzia $1 kisha $3 ,$5 $10-$100 ambayo utakopa hadi millioni 500 kuna mikopo ya aina tatu kuna ya binafsi , ya biashara, na vikundi ya si chini ya watu wa tano.

NAFASI ZA KAZI MARCH 2023

❇️ *AJIRA MPYA KUTOKA ABSA BANK WAMETANGAZA NAFASI ZA KAZI LEO HII.*  βœ… KUSOMA MAELEZO ZAIDI NA NAMNA YA KUTUMA MAOMBI TEMBELEA HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡...