Thursday, 18 June 2020

JINSI YA KUPATA MTAJI WA BIASHARA (NJIA ZA KUPATA MTAJI)






Watu wengi hujiuliza ni wapi pakupata mtaji wa kuanzisha biashara, na imekuwa ni vigumu kupata mikopo kwa wanao anza mwanzo biashar zao, na pengine masharti ya mikopo yamekuwa magumu.

Habari njema ni kwamba kuna njia nyingi ya kupata mtaji kama vile 

a) Kwa njia ya kuuza vitu ulivonavyo.
        Ni vigumu kuamini lakini ni kweli kwamba unaweza kuuza vitu ulivyonavo ili kuanza biashara yako. Sisemei uuze nyumba hapana kwani kujenga tena ni kazi, ila kuna vitu vdogo ambavo kwa binadamu sio lazima sana na unaweza endesha biashara yako vixuri na kununua vingine. Mfano; simu,radio,tv,nguo,kabati na hata gari kwa wanao taka mtaji mkubwa.


b)Kwa kukopa.
        kuna mikopo isiyo na dhamana kwa hiyo huna haja ya kutoa kituchako. na mikopo hiyo angalia kenye blog yangu pia nmeweka jinsi ya kupata mikopo isiyo na dhamana.

c)Kwa kuomba kw andugu na jamaa.
        Wanasemaga ishi na watu vizuri hawajakosea kwani ukishi na watu vizuri huta lala njaa kamwe,jaribu kuangalia watu watakao kusaidia na uwe mwaminifu pia.Omba mtaji kwa marafiki ndugu na utafanikiwa.



FOLLOW ME  
Istagram; Michongo_Ya_Pesa

No comments:

Post a Comment

NAFASI ZA KAZI MARCH 2023

❇️ *AJIRA MPYA KUTOKA ABSA BANK WAMETANGAZA NAFASI ZA KAZI LEO HII.*  ✅ KUSOMA MAELEZO ZAIDI NA NAMNA YA KUTUMA MAOMBI TEMBELEA HAPA 👇👇👇...