Tuesday, 26 September 2017

PATA MIKOPO ISIYO KUWA NA HATI YOYOTE ( KOPA KWA MTANDAO )

          PATA PESA KWA NJIA YA MIKOPO.


Kuna mikopo mingi kwenye mtandao isiyo kua na liba kubwa au kuitaji hati ya nyumba wala ya gari.mikopo upatikana kwa urahisi na bila kutarajia ni ndani ya dakika 5 tu. nina kuakikishia.
Mikopo hii itaitaji kitambulisho chako cha kupigia kura, cha uraia au liseni ya gari....
autahitaji kwenda kokote kupeleka hivyo vitambulisho. Uta vituma kupitia simu yako ya mkononi. Zifuatazo

  1. TALA 
      Hii ni app inayo patikana kwenye playsore,mimi binzfsi nme ijaribu na imewezekana kwa mara ya kwanza nmepata tsh.40,000/=. unaweza kukopa hadi millioni 1. Ni App ya uhakika.
  mahitaji; 
  • Simu ya mkononi aina ya smartphone
  • Laini ya Tigo
  • Kitambulisho chako cha kupigia kura
  • Email yako ni muhimu
      2. BAYPORT

        Unaweza kopa na ukawa unakatwa kwenye mshahara wako kidogokidogo.hii utakopa simu, DStv, n.k...... nayo ni salama.www.bayport.com
 mahitaji;
  •  simu yenye internet
  • laini ya simu yoyote
  • barua toka kwa muajiri wako
  • kitambulisho 
  • Email yako
    3.L PESA MICROFINANCE  
    Hii ni website na wana ofisi zao hapahapa Tanzania ingawa ni kampuni ya Marekani, inatoa mikopo kwenye mtandao wana toa kuanzia $1 kisha $3 ,$5 $10-$100 ambayo utakopa hadi millioni 500 kuna mikopo ya aina tatu kuna ya binafsi , ya biashara, na vikundi ya si chini ya watu wa tano.

2 comments:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Hotel Casino & Spa, Las Vegas - Mapyro
    Hotel Casino & Spa, Las Vegas, 광주광역 출장안마 Nevada. 3131 S. Las Vegas Blvd. · (702) 770-1000. Call Now · More Info. Hours, Accepts Credit 충주 출장안마 Cards, 경산 출장마사지 Wi-Fi. Rating: 창원 출장안마 2 · ‎6 reviews · ‎Price range: $$$How is Hotel Casino & Spa rated?What 세종특별자치 출장샵 days are Hotel Casino & Spa open?

    ReplyDelete

NAFASI ZA KAZI MARCH 2023

❇️ *AJIRA MPYA KUTOKA ABSA BANK WAMETANGAZA NAFASI ZA KAZI LEO HII.*  ✅ KUSOMA MAELEZO ZAIDI NA NAMNA YA KUTUMA MAOMBI TEMBELEA HAPA 👇👇👇...