1.BRIGHTER MONDAY
@ brightermonday.com
Hii ni website pendwa na ni yakuaminik,kila siku inatoa nafasi nyingi za kazi,za serikalini na binafsi.
Makampuni mengi ya kitanzania zinapost ajira kupitia hii webstite.
2. AJIRA FORUM
ajiraforum.com
Hii ni website ya pili Tanzania inayo toa fursa na ajira kwa vijana, ni ya kuaminika. Ni kwa taasisi binafsi na za kiserikali
3.AJIRA ZETU
@ajirazetu.co.tz
Hii nayo ni website nzuri kwa kutafuta kazi.
4.KAZI KAZI
@kazikazi.go.tz
Hii website inatoa nafasi za kazi na kukufindisha nmna ya kuandaa CV.
5AJIRA PORTAL
@portal.ajira.go.tz
Hii inakutafutia kazi moja kwa moja kwa kujaza fomu utayo ikuta kwenye website yao,kisha wanakutafutia kazi wao wenyewe.
KUMBUKA
Usitoe pesa yoyote kwa ajiri kujipatia kazi
Vyote vnaifanyika bure epuka matapeli
Kwa zaidi bonyeza link hii ujue zaidiππΎππΎππΎππΎ