Monday, 7 February 2022

PATA MIKOPO ISIO NA RIBA

 Habari, Je!? Unatafuta mikopp isio na riba au yenye riba nafuu?

1.TUJIJENGE

Hii ni taasisi ya kutoa mikopo kwa mtu mmoja mmoja hadi vikundi. Tujijenge inasaidia kukopesha watu na riba yao ni nafuu mno, pia wanatoa mikopo kwa wafanya biashaara na wafanya kazi. Wanatoa mikopo hata kwa wajasiliamali wadogo, 

WASILIANA NAO

Tujijenge Tanzania Ltd, Tujijenge House,
New Bagamoyo Rd. Plot 17, Block 45A,
P.O Box 22320, Makumbusho, Kijitonyama
Phone: +255 22 2774742/3
Mobile: +255 719 341 034
Email: tujijengetanzania@tujijenge.or.tz


2.YETU MICROFINANCE 

Hii ni taasisi ya mikopo kwa vijana na wanawake kwenye vikundi vya watu watano, mikopo yao ina riba nafuu kwa muda utakao panga wewe.

Kiungani Street, 2nd Floor Mkunazini Building

P.O.Box 75379 Dar es Salaam,

Tanzania.

Tel: +255 22 2180914

Fax:+255 22 2180914

Email: info@yetumfplc.co.tz


3.ASA

Hii inatoa mikopo kwa wanawake wajasiliamali wadogo kwa wakubwa.

MAWASILIANO YAO


Our Head Office can be found at:

Plot-12, Block-33H
Malongwe Street (Kasaba St)
Mwananyamala Area,
Mwinyi Juma Road
Kinondoni

Tanzania

P.O. Box 61627, Dar es Salaam, Tanzaniah


NAFASI ZA KAZI MARCH 2023

❇️ *AJIRA MPYA KUTOKA ABSA BANK WAMETANGAZA NAFASI ZA KAZI LEO HII.*  ✅ KUSOMA MAELEZO ZAIDI NA NAMNA YA KUTUMA MAOMBI TEMBELEA HAPA 👇👇👇...